Hahaahahha hadi nataman ila mie ntawapa woootee tena kwa fujoOceanic and Rasmo are also out working [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 773901
Chonga mafyekero matano hivi. Unajiwekea likes kwa raha zako tu enetaimu. Kazi kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaahahha hadi nataman ila mie ntawapa woootee tena kwa fujo
Naitimeazi bana....
Hata hapa kwenye uzi tu wengi wanapenda vimbaumbau so hakuna haja ya kwenda USA. Ila hata USA hao weusi wanaopenda vimbaumbau hivi nadhani ni wale high class. Wengine hawa wanahangaika na matipwa tipwa na hata ni kimbaumbau kimsambwanda lazima kiwepoEeeh wabongo si hamtutaki tutaenda kuolewa huko US [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaaa wacha wanaume wa kibongo weka mbali kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Hata huko USA wengi wanapenda vimbaumbau so hakuna haja ya kwenda USA. Ila hata USA hao weusi wanaopenda vimbaumbau hivi nadhani ni wale high class. Wengine hawa wanahangaika na matipwa tipwa na hata ni kimbaumbau kimsambwanda lazima kiwepo
Nshairekebisha comment sasa inamake sense zaidi. Kuna ukondefu na Uinglishi figa. Inglishi figa ni kama alivyokiwa Wema aliposhinda Umiss Tanzania. Ukikonda zaidi ya hapo sasa huo ni ukondefuHaaaaaa wacha wanaume wa kibongo weka mbali kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui hata niko wapi wacha niwe kama sanchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nshairekebisha comment sasa inamake sense zaidi. Kuna ukondefu na Uinglishi figa. Inglishi figa ni kama alivyokiwa Wema aliposhinda Umiss Tanzania. Ukikonda zaidi ya hapo sasa huo ni ukondefu