myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:28
[emoji16] [emoji16] [emoji16] ww giniazi bhna
Nianze tu kuitikia marahaba. Nina kichaa!!!Shikamoo shemeji
Usipoitikia naku ban[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji106]Vans old skoolView attachment 774276
Acha iharibu tu kwa kweli lakini siwezi kukataa shikamoo...Na kuanzia sasa ninazo mbili: Kuna ya Carba na ya Consuela. Na kuna mwingine namnyemelea. Numbisa yeye hatabiriki. Unaweza kupewa shikamoo leo kesho ukavurumishwa na mipasho...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sema shikamoo ina radha yake japo ina haribu mambo mengi
Mbona kama linyoka sijui,linatisha aaagggrrrr[emoji34][emoji34][emoji34]Eti sijui lindege la usiku. Lina sura mbayaaaa
Ni bora kuliko WhatsAppTelegram
Siamini [emoji2]
Najua unasema kwa sabab hujawahi waona broke niggaz
Asante mkuu, me pia sijambo kabisa. Naona tumekwisha zianza week end days!Salama kabisa, Vipi kuhusu wewe!?
Ni bora kuliko WhatsApp
Hadi utakapo itikia shikamoo yangu[emoji23][emoji23][emoji23]Nianze tu kuitikia marahaba. Nina kichaa!!!
Ndo uanzage kumuombea sio kushangaa... Ana potea hivo....Gaiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]