Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sema shikamoo ina radha yake japo ina haribu mambo mengi
Acha iharibu tu kwa kweli lakini siwezi kukataa shikamoo...Na kuanzia sasa ninazo mbili: Kuna ya Carba na ya Consuela. Na kuna mwingine namnyemelea. Numbisa yeye hatabiriki. Unaweza kupewa shikamoo leo kesho ukavurumishwa na mipasho...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…