andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Natamani hata akiolewa aishi kwenye nyumba niliyo mjengea ili iwe rahisi kumsimamia maisha yake.Watoto wa kike huwa hawakui kwenye macho ya baba
Bahati mbaya at her age hataki nimsimamie... At eight years old[emoji24] [emoji24] [emoji24]