carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Haka ka nyimbo sijui nimekapendea nini ila kako poa,sema kiba anapenda masebene.Ntampenda na baba yakooo [emoji445]
Wapenzi wa kukata viuno wataielewa
Haka ka nyimbo sijui nimekapendea nini ila kako poa,sema kiba anapenda masebene.Ntampenda na baba yakooo [emoji445]
Malizia tu....Lord knows I need to feel ....
Acha nisimalizie
Tupe eksipiriensi basi kidogo?Hahaha ngoja hiyo case ikutokee ndo utajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usininunie sana lakini broEeeh sana tuuu
Na ogopa kununiwa na ndugu yako
Good night broLesista
Davet
Mlale salama it was nyc to chat with y'all beutiful people
Eeeh!!carba nitakusimulia next time
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kulaliwa kwenyewe hakuwezekaniHivi kakifua kama haka unakalaliaje?
Ukiamka ribs si zimejichora kwa shavu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Akikujibu ni tagUtasimulia nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe utakuwa mpenzi mtazamaji
Usimsikize cole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Am dead
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cole una nini lakini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu ya kuwa mpenzi mtazamaji inaumiza Kweli, kinakuwa kifo cha maumivu
Unakuta kana hela kweli haka kajamaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 774341
Unamajibu ya jeuri wewe,khaaaaa!!!Kupambana kwako ni sawa na kupaka rangi upepo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ndo kwenye mtihani sasaUnakuta kana hela kweli haka kajamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki ya mama, mtakufa karne hii.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ndo kwenye mtihani sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki ya mama, mtakufa karne hii.
Sasa mtaponaje na pesa za bure hakuna ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usituombee kufa bwana
Unaweza usife kimwili ukafa kiroho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usituombee kufa bwana