Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
HahahaaaNapenda sana picha za Bollywood maana mbabe ni mbabe hasa kuanzia sauti yake lazima iwe nzito,
Tembea yake ya kibabe haswaa.
Wakiamua kupiga mtu wanapiga hasa,
Sterling yeye akipiga ni teke moja tu mtu anafariki,
Yeye atapigwa sana lakini mzima tu.
Tajiri ni tajiri kuanzia mavazi, walinzi wake, magari na misafara ya uhakika,
Harusi baab kubwa na mapigano ndani ya kumbi zao za harusi hizo.
Uonevu unaanzia kwa mzazi na mtoto akikua analipiza kwa ubabe mkubwa.
Mi spendi movie ya wahindi