HahahaaaNapenda sana picha za Bollywood maana mbabe ni mbabe hasa kuanzia sauti yake lazima iwe nzito,
Tembea yake ya kibabe haswaa.
Wakiamua kupiga mtu wanapiga hasa,
Sterling yeye akipiga ni teke moja tu mtu anafariki,
Yeye atapigwa sana lakini mzima tu.
Tajiri ni tajiri kuanzia mavazi, walinzi wake, magari na misafara ya uhakika,
Harusi baab kubwa na mapigano ndani ya kumbi zao za harusi hizo.
Uonevu unaanzia kwa mzazi na mtoto akikua analipiza kwa ubabe mkubwa.
BalindaCoco beach
Hapana, ni Hassan Rehani Bitchuka na Juwata Jazz Band 1980. Kibarua Bar Ilala. Leo mnaita Amana hallMbaraka Mwaluka
Pugu roadNyerere road
Ndio nickname yake?Balinda
Mac Donald
Nyerere roadQuality centre
YesAnhaaa!
Mambo ya Bollywood
Pyaar hichi kicheko cha uchochezi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Samaki samakiMlimani city mall
[emoji23][emoji23] sawaUgali huo huliwa na kina mama[emoji3] [emoji3]
Mkuu umetisha umezunguka dar mzima? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyerere road
Pyaar maana yake ni nn?
Naomba kuelewa maana ya mchepuko
Jirani yakeNdio nickname yake?