Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duh! Ngoja nile kwanza ndo nijaribu kutamka hili jina lako!Naitwa Bithurasdinhournhim!
Kula like na ugumu wa id yako.ID yangu ngumu kama Bithurasdinhournhim
Hivi we ni ke au me?Bithurasdinhournhim
Kabisa mkuuUdomozege mwikoooo !!!
Yaan niko mbioni kumuacha kbs.Huyu Andjul wako ni shida. Kila mtanange wa kugombania mabinti humu yumo. Utafikiri hana mke [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu angalia usivuke mipaka. Utakula ban aisee. Hii inafaa Jukwaa la Wakubwa (kama bado lipo) au unaiwekea warning kuwa ina ladha ya kikubwa kubwa....naomba like mia mbili tu ili niweke picha yake nyingine
Karibu mkuuNaitwa Bithurasdinhournhim!
Kula likes leta pic zakoAmbae sijampa like amenipa usijali sitakuangushaaaaa in ngoshaz voice
Aman'gombe galiho nkoyi. Nabatoji duliho [emoji23][emoji23][emoji23]Yaan niko mbioni kumuacha kbs.
Yaan niko mbioni kumuacha kbs.
Toa likes pata likesLikes hazinitoshi kabisa...
Eti nn? Walah hunikuti nyumbani. Kichwa kichafu njoo unichukue.Haahahaaa niaje mkuu, kazi za watu zinabana, mazoea ya kuchungulia huku na kukimbia ndio yanayo tesa
Hhahahaahha hiyo ilikuwa noma pande fulani hivi
Njoo unichukue,huyu nimeshamuacha rasmi.Toa likes pata likes
Eti nn? Walah hunikuti nyumbani. Kichwa kichafu njoo unichukue.
Nimekuja mama acha huyo anajali majukumu zaidi yako.Eti nn? Walah hunikuti nyumbani. Kichwa kichafu njoo unichukue.