Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a2fd0d5d7d3630702688b9f11bf3d977.jpg
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kwa dada mbona ni mbali. Yeye mwenyewe muitaji ni bikra? Mwanaume - stud (mwanaume wa shoka), mwanamke - slut (malaya). Mfumo dume!!!
Siku tukithubutu kujua historia za mama zetu nina uhakika ndio utakuwa mwisho wa NENO hilo chafu. Mungu nisamehe kwa kauli hii. RIP mama andjul(miaka 18 imepita bado nakukumbuka)
 
Back
Top Bottom