Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nachungulia nini mkuu?Shimba ya buyenze wewe ni shidaaa unachungulia balaa
Nachungulia nini mkuu?Shimba ya buyenze wewe ni shidaaa unachungulia balaa
Shilawadu ni nini?Fafanua shilawadu
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku yako imeendaje kamanda?Shimba ya Buyenze
Mimi siendiWe ukienda na mimi naenda
Mnyonyaji hana huruma
Simba dume lenye marasta toka kolomije, mkuu SHIMBA YA BUYENZE, salaam, mchango unahitajika Leo.
Nashukuru kusikia hivyoHahaa mimi sina makoloni bhana
Hilo zari nimekutana nalo leo[emoji13] [emoji13] [emoji99]Mimi
Kwenye ubora wenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaaaaaa
Nakuuliza tena mzee wa ini, Shilawadu ni nini?Mzee wa shilawadu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umekosa tena nipe mjiBasi utakua wa kwangu
Analindwa na mshipi wa heshima [emoji23][emoji23][emoji23]Analindwa na nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] habari ya majukumu boss wanguUnanisingizia mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Uko obsessed na hili neno aisee. Nifafanulie maana yake mzee wa AMUN RA [emoji23][emoji23][emoji23]Shilawadu upo
Sema malkia mwema!SHIMBA YA BUYENZE
Uwezi kuwa serious utakuwa unataniaLabda ni wangu
Kama we ni KE andjul taarifa mbona hanaLabda ni wangu
Nipo. Majukumu yamechanganya kweli kweli. Leo ulichepukia wapi? Sikuwepi hapa karibu siku nzima. Dadangu Nsamaka hajambo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] habari ya majukumu boss wangu