Shimba ya buyenze wewe ni shidaaa unachungulia balaaKuna vijana walikuwa wanakumendea na ulipopotea ghafla wakaanza kutuhumiana. Tena mmoja ulipopotea tu naye akapotea..[emoji23][emoji23][emoji23]
Ya shetani machache[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya dunia mengi
Mrembo babe S: habari yako madam, najua unagombewa, lakini urembo wako unanifanya nishindwe kukuepuka. Umeamkaje hapo home