Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Amelala amepumzika...Ukimpigia mpenzi wako simu usiku a couple of times hapokei, what comes in your mind first? I need honest answers. Mie uwa nahisi anapiga kazi sehemu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Kuna ile ya wakina dada.... eti kudate na wanaume wafupi tabu mana mkiachana ukaona watoto wanacheza unamkumbuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] that's my bro to much positive vibesAmelala amepumzika...
Au yupo kwenye mkesha wa maombi....
Ndo kumepambazuka huku.Utamuweza shemeji yako huyo? Siku yaendeleaje huko?
I knew uta fanya ulicho fanyaNi Caroline
Kuachwa na Mwanamke Mweusi Nae kero Tu Kwa Maana Ukiona Tu Mkaa unamkumbuka!
Eeh safi mie vile kukuona tuNipo bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiondoka nitaaga nimekwambia
Davet aione hiiHell no
Uvumilivu nayo ni kazi ngumu sanaYeah
Hata Chioma kajikaza
Kashafanyiwa kila kituko lakin hakuepa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweli?Amelala amepumzika...
Au yupo kwenye mkesha wa maombi....
Simjui namdhaniya tuuUnamjua [emoji15] [emoji15] umemjuaje[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Btw hakuna mkate mgumu kwenye chai
Mi Hata si hisi chochote atajua mwenyeweUkimpigia mpenzi wako simu usiku a couple of times hapokei, what comes in your mind first? I need honest answers. Mie uwa nahisi anapiga kazi sehemu
Love does not ask why!