Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
[emoji23][emoji23][emoji23]..Kuachwa na Mwanamke Mweusi Nae kero Tu Kwa Maana Ukiona Tu Mkaa unamkumbuka!
Kuna ile ya wakina dada.... eti kudate na wanaume wafupi tabu mana mkiachana ukaona watoto wanacheza unamkumbuka