Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee noma noma
Screenshot_20180512-171052.jpeg
 
Pamoja na mafanikio makubwa aliyonayo Mariah Carey hakutaka kuficha ukweli kuwa aliwahi kuwa mhudumu wa mgahawa. Licha ya kuwa safari yake ya kwenda New York ililenga kutafuta fursa ili aweze kuingia kwenye ramani ya muziki, nyota huyo alifikia kufanya kazi hiyo kwa ajili ya kujiingizia kipato.
 
Nick Minaj

Rapa machachari Nick Minaj naye safari yake ya kutafuta riziki ilikuwa ndefu. Kabla ya kufanikiwa kwenye muziki alihangaika huku na kule kutafuta chochote kitu ndipo alipojikuta akifanya kazi kwenye mgahawa wa Red Robster kama mhudumu.
 
Napenda sana kujichanganya na watu lakini sipendi ifike hatua mtu anidharau, sasa kazi ya uhudumu inataka uvumilie kila kitu, nilishindwa na hawakuwa na jinsi zaidi ya kunifukuza. Huenda masuala ya kuwasikiliza na kuwajali wateja hayapo kwenye damu yangu,” alisema Minaj alipohojiwa na jarida la GQ
 
Julianne Moore

Nyota huyu wa Hollywood aliliambia gazeti la Dailymail kuwa kabla ya kuingia kwenye uigizaji alikuwa mhudumu wa hoteli. Katika mahojiano hayo alinukuliwa akisema , “Mimi ni mfanyakazi bora, kila kazi ninayofanya nafanya kwa umakini mkubwa bila kujali napitia mazingira gani na ndiyo sababu hata nilipokuwa mhudumu nilikuwa bora,”
 
Naya Rivera

Muigizaji Naya Rivera naye anaingia kwenye orodha hii baada ya kuthibitisha yeye mwenyewe kuwa aliwahi kufanya kazi kama mhudumu katika mgahawa wa Hooters. Kazi hiyo haikuwa rahisi kwa Naya lakini hakuwa na budi kuifanya ili kujitengenezea kipato. Katika mojawapo ya mahojiano ambayo amewahi kuyafanya aliweka wazi kuwa wakati akifanya kazi mgahawani hapo alikuwa mwembamba mno na alianza kupata mwili baada ya kuacha kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom