+ ya kukimbizana[emoji23][emoji23], basi mie hayo ndo yanafanya nishindwe hata kufanya shughuli zangu busy kuwaangalia wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],hivo hivo, kwani mnashindwa kujificha ficha kwenye miti + maua + kukimbizana???Maigizo yanawapa sana illusion kinadada
Mnatusumbua tuish maisha ya ki movie movie
Lugha gani hiyo mkuu?Pyaar means love
Mkuu sijakuona ndo maana nikaona nisiwanyime watu haki toka kwako,Poleni na mapumziko
Aaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],hivo hivo, kwani mnashindwa kujificha ficha kwenye miti + maua + kukimbizana???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kujificha ficha mwisho wa siku uitiwe mwizi bure upondwe ufe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],hivo hivo, kwani mnashindwa kujificha ficha kwenye miti + maua + kukimbizana???
[emoji23][emoji23][emoji23],Aaaah
Mnatusumbua sana na mapenzi ya tamthiliya nyie [emoji23]
Kihindi hikoLugha gani hiyo mkuu?
Mkuu sijakuona ndo maana nikaona nisiwanyime watu haki toka kwako,
Nimetumia haki zako na kujifanya mie ndo myoyambendi na watu wakatoa like kwa kukuamini wewe.
Asante mkuu, kwema hukoMkuu sijakuona ndo maana nikaona nisiwanyime watu haki toka kwako,
Nimetumia haki zako na kujifanya mie ndo myoyambendi na watu wakatoa like kwa kukuamini wewe.