Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jennifer Aniston

Licha ya kuwa hakupenda kufanya kazi hiyo lakini hakuwa na njia nyingine ya kupata pesa zaidi ya kuwa mhudumu kwenye mgahawa. Alipohojiwa na jarida la Marie Claire, Aniston aliweka wazi kuwa hakupenda kazi yake na ndiyo sababu hakuwa mhudumu bora. “ Sikuwa mhudumu bora, ila watu walikuwa wananiambia niko vizuri na mcheshi kwa mtindo huo nikajikuta napendwa na wengi,”.
 
Nick Cannon

Akiwa na umri wa miaka 17 Nick Cannon alifanya kazi kwa muda mfupi kwenye mgahawa wa Wienerscheenitzel kama mhudumu lakini aliishia kufukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu. Hata hivyo Cannon mwenyewe anadai hakupenda kufanya kazi hiyo ila mama yake alimlazimisha. Alifukuzwa kwa kosa la kucheza game muda wa kazi ikiwa ni siku chache baada ya kuajiriwa.
 
Katika mahojiano yake na Jay Leno, Chriss alisema licha ya kufanya kazi kwenye mgahawa huo mkubwa ilikuwa ngumu kwa mfanyakazi kuweza kununua chakula kilichokuwa kinauzwa hapo. Alinukuliwa akisema, “ Nikiwa pale nilipenda sana kusafisha meza walizokula watoto, unajua watoto huwa hawali sana kwa hiyo nadhani nimeeleweka,” alimalizia akicheka
 
Sandra Bullock

Nyota wa Hollywood Sandra Bullock naye ametajwa kwenye orodha ya mastaa ambao wamewahi kufanya kazi kama wahudumu wa hoteli. Nyota wa vichekesho Jeniffer Coolidge ndiye aliyetoboa siri hii akidai kuwa walifanya kazi pamoja. “Mimi nilikuwa mvivu hivyo mara nyingi nafasi yangu alikuwa akiichukua yeye na kama inavyofahamika unalipwa kulingana na unavyofanya kazi,” alisema Coolidge
 
Taarifa ya Idara ya Uhamiaji ilitolewa muda mfupi baada ya kiongozi huyo wa zamani mwenye kashfa ya ufisadi kuandika katika Facebook kwamba yeye na familia yake wanatarajiwa kwenda ughaibuni kwa mapumziko kuanzia Jumamosi na watarejea wiki ijayo.
 
Back
Top Bottom