Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye ile safu ya wakali watatu watakaosimama mbele ya mshambuliaji mmoja, Robert Lewandowski, ambaye kuna uwezekano mkubwa wa kuachana na Bayern Munich mwishoni mwa msimu huu na hakika huduma yake haiwezi kuwa chini ya Pauni 100 milioni - hapo kutakuwa na Eden Hazard, Antoine Griezmann na Neymar.
 
Hivi karibuni, Hazard alionekana akipiga picha kutangaza jezi mpya za Chelsea, lakini ukweli ni kwamba staa huyo anaweza kuhama Stamford Bridge akiwindwa na Real Madrid, huku ada yake ikitajwa kuwa haiwezi kupungua sana Pauni 200 milioni, sawa na itakavyokuwa kwa Neymar, ambaye pia anawindwa na wababe hao wa Bernabeu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijawai kucheka kama hivi daah you made my day bro.
[emoji23][emoji23][emoji23] jf raha sana braza ..
 
Back
Top Bottom