Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwaka 1898 yani miaka 14 kabla ya ajali kuna kitabu kilitungua kiliitwa 'unsinkable' ambacho kilihadithia kuwepo kwa meli kubwa ambayo baadae iligonga mwamba wa barafu na ile hadithi kwa asilimia 80 iliendana na kile kilichotokea kwenye titanic..mpaka leo kuna watu wanajiuliza kuna uhusiano gani kati ya kile kitabu na kilichoitokea meli ya titanic
 
6f5199c72f4d985784fed3201c858150.jpg
 
BET AWARD 2018
best collabo.

1. Wiz kid x tiwa savage
2. Ali kiba x M.I

3. Sauti Sol x tiwa Savage

4. Diamond platnumz x Rayvanny

5. Stonebwoy x kelvin music

6. Harmonize x Yemi alade.

7. Eddy kenzo x AKA

8. Jah prayzah x davido
 
Back
Top Bottom