Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

meli ya californian iliitangulia meli ya titanic kwa masaa kadhaa lakini ilisimama baada ya kuona hali ya bahari sio nzuri...lakini titanic ikaipita califonian..na californian ikatuma jumbe za taadhari kwa titanic lakini makaptain wa titanic wakazipuuzia kwakuamin titanic ni 'unsikable' haiwezi kuzama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…