Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

baada ya mda titanic ilipopata ajali ikatuma jumbe za msaada kwa carlifonian lakini kwa bahati mbaya mtu wa kushughulikia mawasiliano usika alikuwa ameshalala ambapo kama angekuwa macho basi meli hiyo ingeokoa mamia ya watu
ndo siku anazaliwa mwanzilishi wa taifa la korea kaskazin kim II sung
 
Shida tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1519425925974.gif
 
ndio meli pekee iliyozama kwa kugonga mwamba wa barafu mpaka sasa na kati ya watu 711 waliookolewa, wanaume walikuwa pungufu ya seluthi

mhanga wa mwisho wa ajali hiyo alifariki mwaka 2009 may 31,akiwa na umri wa 97 na alikuwa na umri wa miezi miwili tu wakat wa ajali anatokea

sheria nyingi za usalama wa watu bahari zilianzishwa baada ile ajali.
 
Back
Top Bottom