Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9. Umekunywa sana pombe?? Usijali, matango yana sukari, vitamin B na electroliti kujaza virutubisho vya mwili vilivyopotea, na kukuweka katika hali nzuri. Kula vipande vichache vya matango kabla ya kulala na utaamka bila maumivu ya kichwa.
 
10. Unahitaji nguvu ya ziada mchana na huna muda wa kujipumzisha?? Kaa mbali na vinywaji nya kuongeza nguvu kama Redbull! Matango ni chanzo kizuri cha vitamin B na kabohydreti ambayo inaweza kukupa nguvu unayoihitaji. Matango yanakupa mabawa.
 
Back
Top Bottom