Unaniletdown brazaNdio nan huyo?
Asantee sana BAK[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji11]
Ni mwanamke wa shoka. Mastaa wengi wa Bongo wala siyo levo yake...Nimemwangalia kideon nimependa anavyoongea anajiamin
Hupati. [emoji23]I need a daughter [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 775626
Zari anakuwaga na Sura mbili tofauti eeh
Ni kweli aisee. Ni addiction mbaya...Naamini hata kuna ndoa zimelega lega sababu ya uzi huu.Me siupendi huu Uzi. Ufutwe tu. Maana watu hawali hawalali hawafanyi kazi hawaendi uani, tokea saa 9 alasiri mtu yupo humu. [emoji23] [emoji23]
USIPOENIMEPOA
Kaone....Kitooooo where are you?
Napenda tu anavyoitingisha mitandao kwa kifupi zari kaifunika kiba day,yaan kila kona ni yeye haters wanajitahidi kumshusha huku fans wakimpigia debe baaasi vurugu tupuNi mwanamke wa shoka. Mastaa wengi wa Bongo wala siyo levo yake...
Hata wewe uliyesomea Nigeria na UK?Hii lugha ya trump wengine hatuelewi. [emoji17]
Skumbuki broTafuta record zoooote ambazo hao jamaa wamekaa kipegere kimoja na Mond akaibuka kidedea iniletee....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kabisaaaa i loveee kitoo buyenze[emoji23][emoji23][emoji23]Kaone....
Bila Kitoo huwezi kuishi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo ndoa tu huu Uzi upo kama madawa ya kulevya ukiingia tu huwezi acha, una subscribe halafu ukiingia unapata likes za kufa mtu, wote humu ni MATEJA. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli aisee. Ni addiction mbaya...Naamini hata kuna ndoa zimelega lega sababu ya uzi huu.
Haijawahi tokea bro ila kinyume cha kauli yangu ndio huwa inatokea sana alafu bila kutuma maombiSkumbuki bro