HahahaUle mwaka tulijiunga wengi kumbe
Nilikua nimepata pigo kubwa maishan nikasema nitafute pa kuondolea stress basi nikajiunga humu kiutan utan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante nshapoaHahaha
Wengi sana tulijoin that year
You came ulianza kuzoeana na Rayvan mzee wa ID kibaoo. Ndio pia nlipata kukufaham hapo.
Pole sana na ishu hiyo ilo kupata
ASANTE SANA [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Usijali SHIMBA, nitafanya hivo......nikishausikiliza...
HahahaAsante nshapoa
Yule jamaa ana vituko sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yatakuwa yenye utelezi.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] halafu leo nina upako