Mama yangu wewe ni nguzo maishani mwangu
Taa imulikayo mbele yangu daima milele eeeeeh
Mama yangu wewe ni nguzo maishani mwangu
Taa imulikayo mbele yangu
Mawazo yako MAMA yanaongoza maisha yangu yooootee.
Nikisema nikulipe itanigharimu maisha yangu yote
Nikisema nikuzawadie sioni chochote kile unachostahili
Ninachoweza sema NAKUPENDA sana mama
Nakushukuru kwa yale yote mema ulotenda kwangu
ASANTE SANA MAMA woooooooh!
[emoji444][emoji444][emoji445][emoji443][emoji444][emoji445][emoji445][emoji443]
HAPPY MOTHER'S DAY..
Napenda kuwatia moyo na kuwafariji wale wote wanao itazama siku hii ya leo kiutofauti , wale wote ambao mama zao, wapendwa wao, MISINGI YAO haipo tena duniani.
Twawezaje kuwalipa katika hilo?
Hakuna binadamu awezaye kuwalipa ni Mungu tu,
Malezi yao kwetu ni hazina kuu iliyositirika yenye thamani kubwa kuliko lulu zingine.
Mungu
HAPPY DAY TO THEM!