Aisee basi unaweza kua dada mkubwa kama haufanyi maigizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], dogo sana.
RAIS wa zamani wa Shirikisho la Soka la Kimataifa, Fifa, Sepp Blatter ni kama anaipigia ndogondogo Morocco kuwa mwenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia 2026 akisema haiwezekani Kombe la Dunia likaandaliwa na nchi zaidi ya moja.
Ni kweli aliipigania Afrika lakini jambo baya Afrika haikumpiganiaRais huyo wa zamani wa Fifa alisema alienguliwa kutokana na kile kilichoelezwa kashfa ya rushwa, amekuwa mstari wa mbele kuipigania Afrika kuandaa Fainali za Kombe la Dunia. Blatter wakati wa utawala wake, aliipigania Afrika Kusini kuwa mwenyeji wa fainali hizo kwa mara ya kwanza 2010 na sasa anaonekana kuanza kampeni za 2026.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wewe mdogo wangu wa 6,Aisee basi unaweza kua dada mkubwa kama haufanyi maigizo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]Hahah! Mambo ya club mkuu nilikutana tu na mtu huko katika kubambia hapa na pale basi nikataka kuonyesha ufundi zaidi na kushare liquid za mdomo, kumbe bibie alijidabika madude yao kwenye lips basi nahisi niliyameza yote matokea ya pale sasa tumbo likaanza tabu na mengine yakaendelea
Ubongo unachangamka Kwa like za bureeTokea saa 2 mtu yupo humu jukwaa la kupewa likes za bure, nenda majukwaa mengine kachangamshe ubongo. Ukikaa sehemu moja akili inadumaa.... [emoji23] [emoji23] [emoji188] [emoji125] [emoji100]
Sio mbaya lakini isije kua upo location tu unafanya maigizo.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wewe mdogo wangu wa 6,
Hahahaha! Ajali kazini....Hahah! Mambo ya club mkuu nilikutana tu na mtu huko katika kubambia hapa na pale basi nikataka kuonyesha ufundi zaidi na kushare liquid za mdomo, kumbe bibie alijidabika madude yao kwenye lips basi nahisi niliyameza yote matokea ya pale sasa tumbo likaanza tabu na mengine yakaendelea
Afrika Yenyewe ipo kimyaaMarekani, Canada na Mexico zimeungana pamoja kupambana na Morocco inayotaka kuwa mwenyeji na imesimama yenyewe.
“Kuwa na nchi kubwa tatu kwa pamoja. Ni wazi kwamba mmoja anaweza kuwa mwenyeji, sasa kwanini ziwe nchi tatu?” Blatter aliiambia Mani Djazmi, katika kipindi cha BBC’s World Football.
Hahah!! Mkuu kumbe upo unafatilia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
Hapana sio mioyo siunajua tena mkishatumia mambo flani mnakua high sana?Hahahaha! Ajali kazini....
Ila mna mioyo!!
Nawazoom tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!! Mkuu kumbe upo unafatilia? [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee!Hapana sio mioyo siunajua tena mkushatumia mambo flani mnakua high sana?
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23], sifanyi maigizo hata kidogo.Sio mbaya lakini isije kua upo location tu unafanya maigizo.. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28], pole huko utokakochit chat bila ya uwepo wa huu Uzi wa likes "" bado haijawa chit chat kamili"" nimepitia Uzi zilizopo ktika hili jukwaa nimeona zote zimedoda...nikaamua nine kwenye Uzi wetu pendwa.......
toa likes ..pata likes ""