std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,411
- 4,200
siku 8 views m 97Childish Gambino- this is america
siku 8 views m 97Childish Gambino- this is america
Aah!! embu usijibane niache mwenyewe nipambane na vicheko vyangu..Hahahaha! Na hapo pia nimekuchekesha mkuu??
Mungu wangu sijui nifanyeje tu.
Hata nikitaka kuoa nambie nitamuoa naniHamuwezi kua hamjaelewa me nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa so miaka kadhaa ijayo ndio mniulize naoa lini....
Jana nikaona anamkaribisha kakaake ofisini kwa Paul Makonda halafu akasisitiza usiione [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa mambo waliyo kuwa wanafanya jana ikanibidi nikimbie tu
Kwema my ndugu
Ukiambiwa wewe ni boyfriend haimaanishi uko peke yako...Hata nikitaka kuoa nambie nitamuoa nani
Watu wana watu wengine
toka zamani
[emoji23][emoji23][emoji23], sawa ngoja nikuache upambanege na vicheko vyako..Aah!! embu usijibane niache mwenyewe nipambane na vicheko vyangu..
[emoji23][emoji23]
Huyu naweza kumlamba mwili mzima
Utaharisha mkuu mana utamkula hayo ma-makeup mpaka basi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Namwogesha kwanza mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu dadavua angalau kidogo[emoji23][emoji23] hapo sawa mkuu mana mimi yalinikuta siku ikaharibika kabisa...
Heeh sasa mkuu 32 ni dogo jamani?[emoji23][emoji23][emoji23], sawa ngoja nikuache upambanege na vicheko vyako..
Halafu kumbe jamaa dogo kabisa, ndo kwanza anachezea 32.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Usiparamie mkuu nenda kwa step
Usiparamie mkuu nenda kwa step
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ilikua club mkuu alafu tayari vichwa vipo high basi tabu kweli kweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hakuna tofauti kati ya kelele za Generator na mwanamke mnene akiwa anaharisha. Chunguzeni mtanipa majibu.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], dogo sana.Heeh sasa mkuu 32 ni dogo jamani?
[emoji3] [emoji3]Bado wajinga wanakemea wajanja...
Hahah! Mambo ya club mkuu nilikutana tu na mtu huko katika kubambia hapa na pale basi nikataka kuonyesha ufundi zaidi na kushare liquid za mdomo, kumbe bibie alijidabika madude yao kwenye lips basi nahisi niliyameza yote matokea ya pale sasa tumbo likaanza tabu na mengine yakaendelea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu dadavua angalau kidogo