Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-05-07-23-07-29.jpg
 
Kumbuka sheria ya mistari mitano

Watu wengi ndege inapopata ajali abiria hufariki dunia kutokana na kushindwa kutoka nje ya ndege kwa wakati mara baada ya ndege kutua kwa dharura. Unashauriwa kuchukua siti ndani ya mistari mitano kutoka ulipo mlango wa dharura, kwani utafiti uliofanywa umeonesha kuwa abiria wengi hutembea wastani wa mistari mitano kabla ya kutoka kwenye ndege.
 
Aidha, kama utaweza kupata siti jirani zaidi na mlango wa dharura unashauriwa kufanya hivyo. Watafiti wameeleza kuwa, kukaa umbali wa zaidi ya mstari mitano kutoka ulipo mlango wa kutokea, kunaongeza uwezekano wa wewe kufariki ajali ikitokea
 
Kukaa karibu na mlango kuna faida nyingi, kwani hata moshi ukijaa ndani ya ndege na ukashindwa kuona, kama ulikuwa karibu na mlango unaweza kutoka, tofauti na yule aliyekaa mbali.
 
Mavazi

Imeripotiwa kwa, asilimia 68 ya wanaohusika katika ajali za ndege, hufariki kutokana na mavazi wanayokuwa wamevaa ambapo hushika moto, huhifadhi moshi, lakini wangine hushindwa kukimbia kutokana na kuvaa viatu vyenye visigino virefu au sketi fupi. Hivyo unashauriwa kuvaa mavazi ambayo yatakufanya kuwa huru mfano kukimbia tatizo linapotokea.
 
Back
Top Bottom