Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
hili somo la mchana,,, muda si mrefu TUNAPOAMvinyo mwekundu awali ulihusishwa na faida mbalimbali za kiafya. kuanzia kupunguza hatari za kupata magonjwa ya moyo na kisukari, lakini sasa umebainika ni tiba ya meno.
Hongera zako...Bro nacheka mnoo naongeza siku za kuishi rafiki
[emoji16] [emoji16] [emoji16] sawa shiro,Sawa kasmart ni vile niliona uko na kasi mingi[emoji23]
Yupo kwenye mvinyo mwekundu saa hizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa mastyle yameisha?
Hahaha eeKumbee[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Dada wasukuma wana msemo wao ufuatao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo kakaangu wewe ni mbishi alafu hizo asampsheni zako sijui umezitolea wapi