Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kasmart Na nilivyo mrefu hivi akili zangu za kufikiria nazijua mwenyew shiro
Hata ni vile unamuwaza alois tuu kila dakika na nshakwambia ni cuz wangu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
IMG_20180424_185440_114.jpg
 
Toka ndani ya ndege haraka

Kuna baadhi ya watu, ndege ikipata hitilafu wakati wa kutua, na ikafanikiwa kutua, hubaki ndani ya ndege wakiwa hawaamini kama wamefanikiwa kutua salama, huku wakisubiri huduma za uokoaji. Jambo hilo si sahihi, badala yake, baada ya ndege kutua, unashauriwa kutoka ndani ya ndege hiyo ili kuepuka madhara mengine mfano ndege kuwaka moto.
 
Baadhi ya abiria wengine ambao hawakupata jeraha lolote wakati wa hitilafu, nao hukaa ndani ya ndege kusubiri kuokolewa. Baada ya ndege kutua, una sekunde 90 tu za kutoka ndani ya ndege hiyo kabla moto au moshi haujafika ulipo.
 
Back
Top Bottom