Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapo wanaodhani simba dume ni mzembe sababu mara nyingi hashiriki kwenye kuwinda na kuleta kitoweo bali simba jike ndiye anaye hustle sana kuwinda na kuua kitoweo,wengi wanaowaza hivi hawaelewi vizuri majukumu na kazi ya simba dume.
 
Simba hupendelea kuishi kwa mtindo wa familia pale simba wanapozaa watoto hutambulika kwa jina la pride tuseme kwenye familia kuna simba dume ,jike na wadogo zake sasa huyu jike akipewa mimba na akizaa sasa rasmi kikundi hicho cha simba hujulikana kama pride.
 
Kwa kuwa makala yetu imejikita kuzungumzia maisha ya simba dume basi tujikite kwenye mada husika ,mara nyingi simba akijifungua jike wanakuwa wengi na dume wachache.
 
Hawa watoto watalelewa vizuri kwa kupatiwa maziwa mpaka pale watakapofikia hatua ya kula nyama maisha ya watoto hawa wote jike na dume huwa ni ya furaha wanacheza ,wanakula na kufanya kila kitu na hata kuchezea sharubu za baba
 
.Maisha huanza kubadilika baada ya watoto hawa kufikisha miaka 2 kamili au kasoro ,jike wataishi kama awali kula ,kucheza ,kufanya utundu nk lakini simba dume akifikisha umri huo huwa anakuwa makini sana hata fujo ,utundu huwa hafanyi na pindi mnyama akiuliwa kwaajili ya kitoweo simba huyu huwa hagombanii chakula na endapo baba yake akitaka kipande kikubwa cha nyama na kuleta ubabe mtoto huyu wa kiume hujisogeza pembeni ila watoto wa kike wanaweza kudinda .
 
Maisha ya mtoto wa kiume akishafikisha umri huo huwa hamjaribu kabisa baba yake na pia mzee simba huwa anamvutia sekunde ,dakika ,saa ,siku ili amvae mwanaye na amchane ukweli.Endapo mtoto huyu wa kiume aki test uvumilivu wa mzee kwa kugombania msosi ,kufanya mautundu ,kucheza na shangazi zake basi mzee simba uvumilivu utamshinda.
 
Simba dume akishafikisha miaka 2 huwa anasubiria sekunde ,saa au siku atimuliwe na baba yake kwenye familia aende kujitegemea huku watoto wa kike wakibaki kwenye familia kupata msosi wa bure.
 
Siku mzee simba frustrations zikimjaa humvaa mwanaye wa kiume na kumfukuza kwenye eneo lake na simba dume huwa ana miliki eneo mpaka mile 10,na simba kijana lazima asepe na hapa mzee simba huwa ni mkali hana msalia mtume anamfukuza kwa ukali kama vile hamjui mwanaye kama vile sio damu yake hapa simba kijana husepa zake na mzee simba humfukuza huyu kijana mpaka ahakikishe kashaondoka katika eneo lake la mile 2,3 ,10 nk .
 
Hapa simba huyu kijana mwenye miaka 2 au 2 kasoro akiwa ndio anaingia kwenye balehe ila bado hayupo fiti anajisepea zake huku akitizama nyuma haamini anaachana na mama yake ,ndugu zake.simba huyu huanza maisha mapya akiwa pekee yake.
 
Sawa kabisa
 
Sasa simba huyu kijana akikutana na fisi hawa ataweza kushambuliwa tu na meno ya fisi ni makali kuliko mnyama yeyote yule sasa simba huyu akiwekwa kati na fisi wakamzunguka kama akinusurika basi ni majeraha na simba akipata majeraha ina maana atashindwa kuwinda na kifo kitamsogelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…