Aisee! 35 kwa sikuKwa umri huu aliofikisha simba huyu anakuwa kivuruge chochote humwambii yupo kwenye peak yake ,akimuona simba jike pekee yake ataenda kumtongoza na simba jike huyo hatomkubalia kirahisi kwanza atampima ubavu je yupo fiti ,je ataweza kumlinda yeye na watoto ,akisha thibitisha hilo ndio ataruhusu kuwa nae na hapo watafanya mapenzi sana hata mara 35 kwa siku .
1.simba wanapopigana hukimbilia kung'ata na kunyofoa mapumbu na simba aliyenyofolewa mapumbu hushindwa tena kuzalisha na kusambaza damu yake ,
Hahahaha eeAisee! 35 kwa siku
Hahahaha eeAisee! 35 kwa siku
Kuna siku ulileta somo hapa,ila ilikuwa hasa kwa binadamu kuwa kila tendo moja ni sawa na kutembea kilomita 10 km sijasahau,,Hahahaha ee
Wanyama baba lao tembo anafaidi masaa sitaKuna siku ulileta somo hapa,ila ilikuwa hasa kwa binadamu kuwa kila tendo moja ni sawa na kutembea kilomita 10 km sijasahau,,
Sasa hyo formula ina apply hadi kwa hawa wanyama km simba,,? kwahyo hapo itakuwa 35 x 10km=350km duh
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji119] [emoji119]Wanyama baba lao tembo anafaidi masaa sita
[emoji23] [emoji23] [emoji23]1.simba wanapopigana hukimbilia kung'ata na kunyofoa mapumbu na simba aliyenyofolewa mapumbu hushindwa tena kuzalisha na kusambaza damu yake ,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan kila nikitaka kustaafu umbea majaribu hayo mlangon,sijui wanaenda wapi hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fact bana hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ni comedy au unaongea fact?
Kosea tujue kweli unasinzia[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]
Nasinziaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ahaaa kumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee....
Tulikua tunaenda jamii great thinkers