carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Iceman apasome hapa
Hahah!! Niswala la kumwambia tu kua wewe ndio ulinijaza
Hahah!! Niswala la kumwambia tu kua wewe ndio ulinijaza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Achana naye kabisa,ukimkuta kwenye anga zake kama si yeye wa humu
Yes ni wimbo mzuri sana huoWako wengi, kuna Luther Vandross, Whitney Houston, Steve Wonder nadhani na huyo yupo
Na sura haka kama vile nakaelewa
Ngoja tusubiriHamfikishiiii
Mkifikisha nahama jf
Umepata mamaBado nahitaji ma-likes
Bila kuchelewaDuh hapa kasi tu
Ule mtulizo ambao baada ya kutulia ntapata na ka usingizi kataamMtulizo upi unautaka??[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ata leo umevurugwa ila bado tu hujalitambua hilo