Unapitia kurasa za nyuma hukoKuhusu nini mkuu?
Nasikia umepita na viatu vya watu ugeniniUzi huu umenikutanisha na mwenyekiti wa kibiti
HhahaahhaUzi huu umenikutanisha na babe s
Unataka nikuPM...
Umekwisha kweliUzi huu ukijaribu mara moja umekwisha
Pamoja sambaza likes post kama kichaaTulisongeshe mpaka 1 m
Kibiti wamekupa cheo ukiwa mgeni una bahati wewe!
Wewe si unanyota ya punda kubebea watu mzigoKibiti wamekupa cheo ukiwa mgeni una bahati wewe!
Haya maneno tu ngoja nimsubiri babe SMimi mwaminifu kwa babe s
UziVitu ambavyo binadam wanavidharau ndio vinakua na umaarufu kama huu uzi
Hapo kwenye Uzo. NimepapendaVitu ambavyo binadam wanavidharau ndio vinakua na umaarufu kama huu uzo