Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,142
Numbisa ndio mpenzi wa alikiba na diamond sijui kama kuna mwingine.Leo nataka kujua humu kuna wapenzi wangapi wa Alikiba na Diamond
Mi nakugonga likes tu Mtoto Mzuri
Chukua Yote
Atakuwa anasali. Niliambiwa ameokoka.Black beauty babe S kunamtu anakuhitaji
Kula like kwanza!Hivi huu uzi vp...! maana hadi unakera kila siku upo huku mbelembele sijui nani anaufufua...Me binafsi siumandi hata kidogo kama vipi utulewe tu hapa.. maana hakuna cha maana kinachojadiliwa hapa..