Poka likes sambaza likea zaidiYaani uzi kwa ajili ya likes tu,like moja inaondoa misongo ya mawazo elfu moja hahah!
Ila kuna kanuni #1 inasema Toa Likes Pokea LikesYaani uzi kwa ajili ya likes tu,like moja inaondoa misongo ya mawazo elfu moja hahah!
Cool sana brother karibuKichwa kichafuuu
Ile harusi ambao ulikuwa MC mwisho wa harusi ukaiba wali na vinywaji unaikumbukaNataka nikuunganishe na kikundi cha kustarehe na raha kinaitwa maimai utafaidi sana huko.
Karibu sana hukuHuwezi nichimba Biti kisha unaishi Kibiti
Gonga Likes tafadhali
OngezaNiongezee
Like..JF ya wasomi na wajanja...Huku asiyepita shule hatumuhitajiKaribu uzi pendwa kula likes sambaza likes