Bwana kaduga
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 864
- 1,818
23:522:05
23:522:05
Majanga huku huyu kocha naona leo kaleta ushoga tu... mfyuuu!!!Mmh barca ngap ngap?
Aiseee mhindi kafaidika sana hii wikiHii wiki mhindi amepigwa sana hela,, timu kubwa kubwa karbu nyingi zmefungwa
Bro vp ile rekodi yenu ya kutokufungwaMajanga huku huyu kocha naona leo kaleta ushoga tu... mfyuuu!!!
Yako ipo very open mkuu,Hata yangu hujaielewa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkishinda huwa hamumlaum mkianza fungwa lawama kibaoMajanga huku huyu kocha naona leo kaleta ushoga tu... mfyuuu!!!
Record ya Mechi nyingi bila kufungwa La liga sindio sisi tunayo au?Bro vp ile rekodi yenu ya kutokufungwa
5-468' LEVANTE 5 VS 3 BARCELONA
mbona unaongea kwa upole bro,, Game ya leo vpRecord ya Mechi nyingi bila kufungwa La liga sindio sisi tunayo au?
Kama anazingua tunamchana tu mpaka sasa kishachafua siku yangu, ngoja niingie utube niangalie marudio ya Man city...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkishinda huwa hamumlaum mkianza fungwa lawama kibao
Hope iishe hvyo hvyo[emoji124] [emoji124] [emoji124]