Ni jambo jemaNiko freshi bosi namshukuru Mungu.
Tayari ipo active hii?Kama ilivyo Shazam, nayo inafanya kazi hivyo hivyo.
What’s That Song?
Kwa hapa, App Hii inaendelea kuthibitisha uchawi wa Teknolojia. Yenyewe unahitaji kuzungumza maneno kadhaa ambayo ulikuwa umeyashika katika Wimbo Huo na sio kuimba, ambapo App hii itafanya kukuleta nyimbo kadhaa zinazoendana na kile ulichokisema kwenye kinasa sauti cha Simu yako