Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bwana Mohammed Iqbal Dar ndiye aliyebuni jina la Tanzania baada ya kuibuka mshindi wa shindano la kubuni jina ambalo lingefaa kutumika, tofauti na United Republic of Tanganyika & Zanzibar ambalo lilionekana kuwa refu sana.
 
Serikali imeanza majaribio ya vidonge vya kuzuia UKIMWI (PrEP), ambavyo mhusika atatakiwa kutumia kwa muda wa siku saba, na baada ya hapo atakuwa na kinga dhidi ya ugonjwa huo.
Hata hivyo, imesisitiza kwamba, bado tiba kamili ya ugonjwa huo haijapatikana.
 
Kama Ulishawahi Kupatikana Na Hatia Yoyote Mahakamani, Basi Ujue Umekosa Sifa Ya Kujiunga Na Kanisa La Shetani (The Church Of Satan) Kwa Sababu Kanisa Hilo Haliruhusu Watu Wenye Makosa Kujiunga Nalo.
 
KENYA: Kondakta wa daladala jijini Nairobi, Daniel Mwaura amepewa kiasi cha TZS 2.9 milioni, huku mkewe akiahidiwa kuhudumiwa bure katika Hospitali ya Nairobi wakati anajifungua, baada ya kuonyesha ukarimu kwa kurudisha TZS 600,000 alizookota ndani ya gari lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…