Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

RWANDA: Kampuni ya Ujerumani ya kutengeneza magari, Volkswagen, wiki iliyopita imeingiza sokoni magari yake mapya ambayo kwa mara ya kwanza yameundwa kwenye kiwanda chake kipya kilichopo nchini humo.
Volkswagen imeanza kwa kuwekeza Dola za Marekani milioni 20 ktk kiwanda hicho.
 
Kenya inatarajia kuizindua satelaiti yake ya kwanza siku ya Ijumaa Mei 11, mwaka huu.
Satelaiti hiyo itatumika katika utabiri wa hali ya hewa pamoja na tafiti za kilimo.
Satelaiti hiyo imeundwa na wakandarasi wa Chuo Kikuu cha Nairobi wakisaidiana na wa Japan.
 
JAPAN: Madereva wa mabasi katika Jiji la Okayama wameendesha mgomo wa aina yake, kwa kutoa huduma ya usafiri ndani ya jiji hilo pasipo kuwatoza nauli abiria.
Lengo la mgomo wao ni kupigania kuboreshwa kwa maslahi yao katika kazi wanayoifanya.
 
FB_IMG_1526263700880.jpg
 
Back
Top Bottom