Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mjini patamu mpaka naiona asali chunguhaya mrs matajir kulikon kupokea kipigo toka kwa mkweo yaan na kujishaua kote kule hatimae kiwigi cha pink kimefuliwa kwenye matope @mama_dangote ahsante dokta naona umeninyooshea mtu mlangoni ningeshangaa sana kama ungemuangalia mpaka anatoka@jumalokole2 shoga angu lakin huyu mbu alikuwa shoga ako na kibesen ulinunua kumpelekea mtoto sasa imekuwaje tena unafurahia mwenzako kupigwa mpaka wigi kutupiwa kwenye topesas nyie mnataka nani aolewe na domo maana kila mwanamke kwenu mbaya ama mnataka afe mjane bila kuoashoga angu tununu tafuta diary uandike hii ndo ujiaminishe kabisa madale hutakiwi muone na uso wake ulivyokuwa mrefu utafikir kamba ya netmwanamke usokuwa na haya wala kujielewa na shape yako kama sanamu la kulindia mpungahaya njoo sasa uwaambie watu kuwa mchana wa leo umepigwa na mama dangote madale huku domo anakuangalia ***** lione macho yake utafikir mbegu za ubuyu mxxxxxxxxiuwhuu ni ubuyu exclusive jaman yaan wa mchana huu hatunaga story za kutunga ndo sababu hatuangaiki na habar zao