Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Gubu la akina mama...

Pombe...

Kazi hatarishi...

Kubweteka (kazi ngumu mf. Kilimo, za nyumbani... hufanywa na akina mama)

Michepuko....
Hata umri pia bro, imagine uoe ukiwa na miaka 45 halafu wife mwenyew miaka 22 ndo kwanza hata kilomita hazijasoma kiivo, na huku unafahamu fika life span ya wanaume ni miaka 45,hasa kwa nchi nyingi za Afrika, unafikilia nn hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…