Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

428926856_141608.jpg
 
Siku za mwezini? Ulishaona ng'ombe au kondoo akiwa kwenye siku zake za mwezini? Baadhi ya wahafidhina wa Thiolojia wanadai kuwa mnyama pekee anayeona siku zake za mwezini laivu ni Homo Sapiens (+ke) na ni adhabu baada ya kutuingiza matatizoni pale Eden Bustanini...
Ila hapo Mungu alikuwa anatuadhibu wanaume, yaani unakuta saksafoni linapuliza vibaya vibaya, lakini ukiangaza "angani" unakutana na minyota nyota miekundu tu[emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom