Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu mwema hiyo siku lazima nicheze sana dance zote sekta muhimu lazima nikuachie bro.
Tuombe uzima bro. Vinywaji na msosi nitaziangalia vizuri. Nitaswaga ng'ombe kabisa kutoka Koromije kuja Mbagala bro...
 
Kabisa tena bila chenga. Sema tu nilikuwa lokesheni moja hatari sana tena kwenye limeli hivi. Otherwise ningekuja kujibu mashambulizi...Bongo kwa umbea tumebarikiwa. Tutafute tu njia ya kuufanya uwe sehemu ya heritage yetu or something...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ila kaka ule haukuwa umbeya ni mazungumzo baada ya habari tuu yale [emoji2]
 
Back
Top Bottom