Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi bro ina maana pale ulikuwa unatupata moja kwa moja (live)
Kabisa tena bila chenga. Sema tu nilikuwa lokesheni moja hatari sana tena kwenye limeli hivi. Otherwise ningekuja kujibu mashambulizi...Bongo kwa umbea tumebarikiwa. Tutafute tu njia ya kuufanya uwe sehemu ya heritage yetu or something...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom