Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Black mamba akimuuma binadamu itamchukua mtu masaa 7 hadi 15 kufa,wakati samaki huyu ni DAKIKA 3 tu!Sumu yake akikupiga inaenda kwa haraka kushambulia moyo na kuua mifumo ya neva kwa haraka hivyo kukuzimisha fasta! Lakini kama ilivyo kila mbabe ana mbabe wake,samaki huyu hazungushi kwa turtles (kasa),ambao sumu ya jelly fish huyu haimdhuru..
 
Labda ataanza kujielewa maana analazimisha sana kupendwa na Dai [emoji23][emoji23] Leo anasema watu wanamuonea wivu yeye kuzaa na matajiri anawajua matajiri kweli na Jacklyn Mengi asemeje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hilo povu nimeliona bhana.
Sema ifike kipindi ajikubali tu
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom