Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji23][emoji23], sema chochote niponeDaaaah am speechless kwakweli
[emoji23][emoji23], sema chochote niponeDaaaah am speechless kwakweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe ndo ulikuwa siti ya mbele kabisa. Shogako anawasha moto, we unamwagia petroli, Mwakaleli anaagizia nyingine iliyoko ikimalizika....Hovyo kabisa yaani...
[emoji23][emoji23][emoji23]siku nyingine analia sababu kapigwa.[emoji2] [emoji2]
Ukiona mtu mzima mamaaaa, analia mbele za watu ujue kuna jambo[emoji445]
Pesa....Au sio, nipe experience kidogo bro, ili nami nikifika huko nione kawaida
Harusi imevunjika jama eee[emoji441][emoji445]Nipo bro.
Always calm, focused and collected. Hujawahi niangusha bro. Ndo maana kwenye wedding yako lazima nikae mbele kabisa karibu na idara ya vinywaji niwe nawaelekeza elekeza...
Wajinga ndio waliwao
KakaWhen I am gone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hali yake mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23] hii siku ataiandika kwa Diary
Na hapo dogo ndo kwanza kagonga 24....
Na wewe uko Argentina [emoji23]Kaka
Weka lile kosi lote la argentina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inawezekana bhanaKaone. Bongo bila umbea haiwezekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawajui wao ndio fursaWajinga ndio waliwao
For sure there are so many reasons to enjoy this beautiful life.Nafarijika kama ni hivyo[emoji4][emoji4][emoji4][emoji120][emoji120][emoji120]
Mtindi huo kwa wazungu huko mali sana. Breast augmentation ni biashara ya mabilioni kila mwaka....Hupendi mtindi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo bro.
Always calm, focused and collected. Hujawahi niangusha bro. Ndo maana kwenye wedding yako lazima nikae mbele kabisa karibu na idara ya vinywaji niwe nawaelekeza elekeza...