AsantePole,
Baiskeli inahitajika,anayeuza naomba anichek pm. Nimeweka kule kwenye matangazo madogo madogo,wiki imepita no comment,hope hapa wasomaji ni wengi labda nitaipata. Nipo ubungo dsm
Type hii sio zile za gear
KweliTunaenda kuianza siku ambayo hatujui hatima yetu
Iwe dedication kwako kutoka kwangu
[emoji259]
AminLakini yaweza kuwa siku yenye changamoto kadhaa "Mwenyezi Mungu atuepushe na hilo"
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Iwe dedication kwako kutoka kwangu
[emoji39] [emoji39] [emoji39] tutumie na voice record yako tuone talentAyii ni wewe
ubavu wangu mwenyewe
Ukifa nizikwe na wewee!!
Nikifa uzikwe na miee...
Oooh baby weeeeeee...
Ninogeshe
Ninogeshe baby
Baby ninogesheeee
Ninogeshe
Ninogeshe baby
Baby ninogesheeee..
Aaaaah kwachukwachu kushea
na watu sitaaaaki oooh baby
Bodaboda yangu vipi nipande mishkaki ...... Siweziiiiii
Rahaa, raha tupu
kupendana na weweé
Raha tupu.....
[emoji444][emoji445][emoji445][emoji443][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]
[emoji177][emoji177][emoji176][emoji176][emoji177][emoji176][emoji176][emoji177]
Baiskeli inahitajika,anayeuza naomba anichek pm. Nimeweka kule kwenye matangazo madogo madogo,wiki imepita no comment,hope hapa wasomaji ni wengi labda nitaipata. Nipo ubungo dsm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwema mkuu?[emoji39] [emoji39] [emoji39] tutumie na voice record yako tuone talent
Kwema kwema,tunasubir utupe burudani[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwema mkuu?
Kaa hapa hapa usihame, naleta burudaniKwema kwema,tunasubir utupe burudani[emoji4]
I'm waiting for it[emoji106]Kaa hapa hapa usihame, naleta burudani
Tena video kabisa, ili msiishie kusikiliza sauti tu.
Subiri muwe wengi wengiI'm waiting for it[emoji106]