Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180515-WA0016.jpg
 
Kutokana na uwezo wa kifedha wa baba yake, Sanchez (Carlos) alibahatika kwenda shule mbali mbali zenye hadhi nzuri kielimu. Carlos hakupenda kabisa masomo ya kawaida, alipofika tu miaka 15 Sanchez aliamua kujiunga na vuguvugu la vijana wa chama cha kikomunisti cha Venezuela. Ambapo mara kadhaa walifanya fujo, maandamano na ghasia kupinga uongozi wa chama tawala.
Akiwa na miaka 17 baba'ke aliamua kuongozana nae kushiriki katika mkutano mkuu wa Umoja wa mabara matatu (tricontinental conference), mkutano uliohusisha mabara ya Africa, Asia na Amerika Kusini.
 
Kwa mara ya kwanza Sanchez alipata uhalisia wa jinsi dunia inaendeshwa ambapo aligundua kua nchi za bara la Ulaya na Marekani zilitumia resources zilizokua nazo kunyonya nchi za dunia ya tatu (3rd world countries).
Hapa ndipo sumu ya mapinduzi ilipoanzia. Mara baada ya mkutano wa umoja wa mabara matatu kuisha, Sanchez alimuomba baba yake ampeleke shule ya mafunzo ya kijeshi.
Jan 1966 akiwa amebakiza miezi kadhaa afikishe miaka 18 baba'ke aliamua kumpeleka chuo cha mafunzo ya vita vya porini (guerilla warfare) kinachoendeshwa na shirika la kijasusi la Cuba (Cuban DGI) nje kidogo ya mji mkuu wa Cuba, Havana.
Mwishoni mwa mwaka huo wazazi wake walitengana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pesa zipo bila shaka. Au ni hilo saksafoni lako nene zito refu lililopinda unalojivuniaga [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si angeenda moja kwa moja kusifia uumbaji na kujituma kwangu.
Anisifie kwa uzuri? Mimi? Aisee... Wife namuombaga anisifiepo hata kidogo anakataa.. Anasema hayupo tayari kumkosea Mungu
 
Back
Top Bottom