Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aah sawa ila ratiba yako ya kulala ilinishtua kidogo...Sina hata kanga inayopumua [emoji23][emoji23]
Cheamani kakuuza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa, aisee! Wewe Mnyaki ni balaa, eti aririri! [emoji23][emoji23]
AsanteAah sawa ila ratiba yako ya kulala ilinishtua kidogo...
Episode leo lazima nikutumie muendelezo usijari ata ukilala utaikuta ukiamka...
[emoji23][emoji23][emoji23]Linaweza kutokea lolote... Huu noozi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
lemama ini da hausi [emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]21:00
Nashukuru sana my nduguMungu ni mwema mdogo wangu uliye barikiwa. Upole wako huwa unakuzungusha kwenye dunia nyiiiingi za hapa duniani. Be blessed brother[emoji120] [emoji120]
Bro nimekupongeza lakini kama unakausha vileNashukuru sana my ndugu
Ukikaushiwa na wewe unakausha bro. Mbona hata mimi nimekaushiwa? [emoji16][emoji16][emoji16]Bro nimekupongeza lakini kama unakausha vile
Hallucinations?