Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Hakuna kitu kinauma kama imefika mwisho wa mwezi huna hela ya kodi ya nyumba halafu anapita mlokole anaimba mbinguni kuna makazi ya bure tena mazuri saña unatamani umuulize je una namba ya dalali yoyote anayemfahamu huko mbinguni anifanyie mpango Hata wa vyumba viwili* [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kufika huko ndo kimbembe sasa...
 
Ben Pol kapatwa na nn sku hizi? [emoji2]
Screenshot_20180515-212216.jpg
 
Back
Top Bottom